Posts

UFARANSA ; WAZIRI AJIUZULU

Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa,Bruno Le Roux, amejiuzulu, baada ya kuibuka shutuma kuwa aliwaajiri binti zake wawili kuwa wasaidizi wa bunge wakiwa wanafunzi. Waendesha mashtaka walifanya uchunguzi wa awali kuhusu mikataba yenye thamani ya karibu dola elfu sitini ambazo bwana Le Roux aliwapa binti zake kati ya mwaka 2009 na mwaka 2016. Amesema hakuna sheria ya bunge iliyokiukwa na watoto wake walifanya kazi kwa uhalali, lakini hakutaka kuwa kikwazo kwa Serikali. Wakati huohuo, uchunguzi kama huo umeendelea kufanyika dhidi ya mgombea urais kutoka chama cha Conservative Francois Fillon, ambaye anashutumiwa kufanya udanganyifu. Fillon amekana kuajiri familia yake na kuwalipa mishahara minono, kashfa ambayo imetia dosari mchakato wake wa kuwania urais : Waziri ajiuzulu

MANENO MAZURI YA KUMPANDISHA HISIA MPENZI WAKO

LOVE; MANENO MAZURI YA KUMPANDISHA HISIA MPENZI WAKO KABLA YA TENDO ! Kwa WENYE Zaidi ya Miaka 18 Tu Bongo Swaggz 3 years ago Life Style, Mapenzi, Mbinu Za Mapenzi Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi. KWA ZILE VIDEOS ZA MASTAA WA BONGO NA VITUKO VYAO KUTOKA KWENYE TV YETU BOFYA HAPA Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano; Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana...

ZIFAHAMU STAILI 100 ZA KUMPA RAHA MPENZI WAKO

Katika mapenzi MTANDA BLOG BannerFans.com SAMAKI ANAERUKA KAMA NDEGE BAHARINI Habari na matukio ya kila siku tembelea tayovi.blogspot.com/(bonyeza hapa) Kwa habari za elimu kama matokeo ya mitihani, nafasi za masomo na habari nyingine za kielimu pamoja na habari za michezo burudani, story za magazetini za kila siku, habari za kiteknolojia kama simu mpya za kisasa zilizotoka na maajabu yake, matukio ya kusikitisha kama ajari za mabasi, kupotea kwa faru john, benny saanane, habari za afya, mafunzo ya biashara na mengineyo mengi ingia muda huu tayovi.blogspot.com Millionaire  Ads Home / Uncategories / ZIFAHAMU STYLES 6 ZA KIUFUNDI ZA KUFAIDI MAPENZI KATIKA TENDO LA NDOA, JIFUNZE HIZI UONE FAIDA ZAKE IKIWEMO KUMDHIBITI MWANAUME ASITOKE NJE YA NDOA LAKINI UTACHANA NA STYLES ILE YA KIFO CHA MENDE KUTOKANA UHONDO WAKE !!!. ZIFAHAMU STYLES 6 ZA KIUFUNDI ZA KUFAIDI MAPENZI KATIKA TENDO LA NDOA, JIFUNZE HIZI UONE FAIDA ZAKE IKIWEMO KUMDHIBITI MWANAUME ASITOKE NJE YA NDOA LAKINI UTACHANA NA S...

ZIFAHAMU STAILI 60 ZA KUMPA RAHA MPENZI WAKO

MTANDA BLOG BannerFans.com SAMAKI ANAERUKA KAMA NDEGE BAHARINI Habari na matukio ya kila siku tembelea tayovi.blogspot.com/(bonyeza hapa) Kwa habari za elimu kama matokeo ya mitihani, nafasi za masomo na habari nyingine za kielimu pamoja na habari za michezo burudani, story za magazetini za kila siku, habari za kiteknolojia kama simu mpya za kisasa zilizotoka na maajabu yake, matukio ya kusikitisha kama ajari za mabasi, kupotea kwa faru john, benny saanane, habari za afya, mafunzo ya biashara na mengineyo mengi ingia muda huu tayovi.blogspot.com Millionaire  Ads Home / Uncategories / ZIFAHAMU STYLES 6 ZA KIUFUNDI ZA KUFAIDI MAPENZI KATIKA TENDO LA NDOA, JIFUNZE HIZI UONE FAIDA ZAKE IKIWEMO KUMDHIBITI MWANAUME ASITOKE NJE YA NDOA LAKINI UTACHANA NA STYLES ILE YA KIFO CHA MENDE KUTOKANA UHONDO WAKE !!!. ZIFAHAMU STYLES 6 ZA KIUFUNDI ZA KUFAIDI MAPENZI KATIKA TENDO LA NDOA, JIFUNZE HIZI UONE FAIDA ZAKE IKIWEMO KUMDHIBITI MWANAUME ASITOKE NJE YA NDOA LAKINI UTACHANA NA STYLES I...

UK and US banned laptop cabin in some flights

US and UK ban cabin laptops on some inbound flights     1 hour ago     From the section US & Canada 336 comments Share Media captionWhy are gadgets banned but mobiles ok? Daniel Sandford explains The US and UK are banning laptops from cabin baggage on flights from certain countries in the Middle East and North Africa, as well as Turkey. The US ban on electronic devices larger than a smartphone is being imposed as an anti-terrorist precaution. It covers inbound flights on nine airlines operating out of 10 airports. Phones are not affected. The British ban, announced hours after the American measure, is similar but applies to different airlines. Downing Street said airline passengers on 14 carriers would not be able to carry laptops in cabin luggage on inbound direct flights from Turkey, Lebanon, Jordan, Egypt, Tunisia and Saudi Arabia. US and UK

Magufuli ambeba Makonda

Image
Hii katuni kutoka gazeti moja la leo imenipa raha sana.