SABABU ZA WANAWAKE KULIA KATIKA SEX
Sababu za wanawake kulia baada ya kufanya mapenzi!
Imewekwa upya:
2 months ago
Maoni:
436212
Kulia baada ya kushiriki
ngono au kufanya mapenzi ni kawaida na hushuhudiwa sana kwa wanawake,
ijapokuwa imesemekana kuwa wanaume hulia pia.
Kulingana
na wataalam, kuna sababu kadhaa ambazo humfanya mwanamke kulia au
kujawa na huzuni baada ya kushiriki ngono, na mojawapo ya sababu hizo ni
homoni ambazo mwili wa binadamu hutoa wakati huo.
Umewahi kushiriki mapenzi na kugundua kuwa mpenzi wako amelia tu, baada ya kipindi kirefu cha kufurahisha?
Kulingana na wanasayansi, ni kawaida.


Utafiti
mwingine umeonyesha kuwa kati ya asilimia saba nukta saba na asilimia
thelathini na mbili nukta tisa ya wanawake wamewahi kulia baada ya
kushiriki mapenzi.
Mara kwa mara, wanaume hulia pia.

Habari Nyingine: Askofu aliyenaswa akifanya mapenzi na mkwe wake ajitetea
Mtaalam
mmoja ameieleza hali hiyo kama 'hali ambayo mwanamke hushindwa
kujidhibiti na kulia bila sababu, hasa baada ya kupandwa na raha ya kujamiana, au kufika katika upeo wa raha ya kujamiana

Umewahi kudhani kuwa 'ustadi' wako ndio uliosababisha kulia kwa mwanamke baada ya kushiriki ngono? Pole sana!
Hata
hivyo, mtaalam mwingine amesema kuwa ukweli wa mambo na mawazo
yanayokuja punde baada ya kushiriki ngono kama woga, huweza kumfanya
mwanamke kulia, ijapokuwa amesisitiza kuwa kulia kwa mwanamke baada ya
kushiriki mapenzi ni kawaida!
Ads by Revcontent
You May Also Like
Habari zingine

Jamaa na marafiki waomboleza kwa MACHUNGU baada ya mchezaji kadanda kumezwa na mamba (picha)
MACHOZI ya uchungu baada ya jitu la mamba kumla mchezaji kadanda! (picha) -
Wakenya watoa maoni yao iwapo Seneta wa Jubilee atashinda ugavana Nairobi (picha)Jinsi Wakenya wanavyotarajia jiji la Nairobi kuwa ikiwa Mike Sonko atakuwa gavana (picha)
-
Chama KIPYA cha chaundwa kupambana na JUBILEEJUBILEE yapata pigo la kisiasa Mandera
-
Hii ndiyo sababu ya kumzuia Joho kuhudhuria mkutano wangu mjini Mombasa - Rais Uhuru KenyattaUhuru aelezea sababu ya kumzuia Hassan Joho kuhudhuria mkutano wake Mombasa
-
Jinsi Uhuru alichezewa ili kuwadanganya MAMILIONI ya WakenyaJinsi Uhuru alichezewa ili kuwadanganya MAMILIONI ya Wakenya
-
Churchill azungumza baada ya ripoti ya 'KIFO' chake kuenea mitandaoniChurchill azungumza baada ya ripoti ya 'KIFO' chake kuenea mitandaoni
-
Ruto apimana nguvu na JUBILEE Narok, ni nani maarufu zaidi? (picha)Ruto apimana nguvu na JUBILEE Narok, ni nani maarufu zaidi? (picha)

Comments
Post a Comment